Fundi wa Bulu Jonathan Sowah Kuikosa Mechi ya SIMBA na Yanga, Kisa Kadi

Fundi wa Bulu Jonathan Sowah Kuikosa Mechi ya SIMBA na Yanga, Kisa Kadi


Mchezaji wa timu ya Simba sc Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.

Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad