Kocha Harambe Stars Afurahia Taifa Stars Kukutana na Morocco "Watapata Tabu Sana"

Kocha Harambe Stars Afurahia Taifa Stars Kukutana na Morocco "Watapata Tabu Sana"


Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya 🇰🇪Kenya Benni McCarthy anaamini kundi A ndio lilikuwa kundi la kifo, na katika kuthibitisha hilo, 🇹🇿Tanzania itasimulia baada ya mchezo dhidi ya 🇲🇦Morocco.


" Tanzania watapata kile tulichokipata sisi kwenye kundi la kifo, nahitaji majibu baada ya mchezo wao."


Benni McCarthy, Kocha mkuu wa Harambee Stars.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad