Hichi Hapa Kikosi Kipya Cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia

Hichi Hapa Kikosi Kipya Cha Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia


Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania  ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini Septemba 2, 2025 kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville na Niger huku nahodha Mbwana Ally Samatta akiwa miongoni mwa walioitwa.

Beki Adulrazack Hamza wa Simba ameshindwa kumshawishi kocha Taifa Stars

Pia ukizingatia upande wa majeraha yanayomkuta yana fanya asiweze kuwa nauhitaji mkubwa sana kwa team ya taifa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad