Hans Rafael : Mohamed Doumbia Hadi Sasa Ndo Usajili Bora Hadi Sasa Tanzania

Hans Rafael : Mohamed Doumbia Hadi Sasa Ndo Usajili Bora Hadi Sasa Tanzania


Ligi yetu imepokea wachezaji wengi wapya na wazuri kwenye hili dirisha kubwa,ila kwangu mimi binafsi Mohamed Doumbia,ndo usajili bora hadi sasa,hapa Yanga Imelamba dume,Top quality,jamaa anagonga #8 na #10,anacheza one touch football nafasi ikija mbele yake anachapa mkwaju

Hata Dunia nzima ipingane na mimi ila naamini huu ndo usajili bora wa dirisha kubwa hadi sasa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad