BREAKING: Elie Mpanzu Hajawasili Mazoezini SIMBA Mpaka Sasa


BREAKING: Elie Mpanzu Hajawasili Mazoezini SIMBA Mpaka Sasa


BREAKING 🚨: ELIE MPANZU HAJAWASILI MAZOEZINI.

Mpaka sasa Mchezaji wa Simba Mcongo Elie Mpanzu hajawasili kwenye kambi ya timu ya Simba iliyopo Pre-Season nchini Misri.

Mpanzu hajatoa taarifa yeyote kuhusu kuchelewa kwake kwenye kambi ya Pre-season.

Uongozi wa Simba unaendelea kufanya juhudi za kumtafuta ili aungane na wenzake kuelekea maandalizi ya Msimu Mpya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad