Jonathan Ikangalombo Kapela ameondoka Yanga✍️
Baada ya kudumu jangwani kwa miezi sita,hatimae Yanga kuachana na Ikangalombo.
Winga huyo amepafomu chini ya kiwango na Yanga wameamuwa kumpa mkono wa kwa heri🖐️
Rasmi Ikangalombo anakwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine