UPDATES :Mchezaji aina ya Mohamed Hussein (Shabalala) sio mchezaji wa kumzungumzia zungumzia heshima yake ndani ya Simba ni kubwa mno nachoweza kuthibitisha kwenu mkataba wake umemalizika ndani ya Simba SC
Chochote kitakachoamuliwa ni kwa maslahi ya Simba na Zimbwe yeye mwenyewe kwahiyo viongozi wetu watakacho amua wenyewe ni kwa maslahi ya Simba na Zimbwe mwenyewe".
Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally akizungumza kuhusu hatma ya Mohamed Hussein