𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Klab ya Mbeya City Kumsajili Kipa wa Simba Hussein Abel



𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Klab ya Mbeya City ipo katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa mlinda lango Hussein Abel,

Hussein Abel kwasasa yupo huru baada ya kandarasi yake na klab ya Simba kuisha na uongozi wa Simba haukuwa tayari kueandelea nae

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad