UPDATE: Nyota wa Simba Kibu Denis Kurejea Tanzania, Vipi Kuhusu Majibu ya Majaribio

 

UPDATE: Nyota wa Simba Kibu Denis Kurejea Tanzania, Vipi Kuhusu Majibu ya Majaribio

UPDATE: Nyota wa Simba Kibu Denis (26) ataingia Tanzania jioni ya leo ili kuungana na timu kwenye pre-Season Misri.

Kibu anarejea nchini baada ya kumaliza majaribio yake nchini Marekani kwenye klabu ya Nashville SC.

Nashville SC Wamemwambia arejee Tanzania wakati wanachakata majibu yake ya majaribio,kama wataridhika na kiwango chake basi watatuma ofa ya kumnunua Simba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad