Kutoka kikosi cha kwanza cha Simba SC, wachezaji 5 wamevivutia vilabu tofauti tofauti kutoka Algeria, Morocco na hata hapa Tanzania 🇩🇿🇲🇦🇹🇿:
🔴Jean Charles Ahoua ➡️ JS Kabylie
🔴 Steven Mukwala ➡️ JS Kabylie
🔴 Lionel Ateba ➡️ Maghreb de Fès
🔴 Che Malone ➡️ USM Alger
🔴 Kibu Denis ➡️ Ofa kutoka Algeria (akiwa kwenye majaribio)
⚠️ Mohamed Hussein ➡️ Anahusishwa na Yanga SC
Kutoka benchi la Simba:
🔁 Balua amejiunga na klabu ya Cyprus kwa mkopo
✅ Aishi Manula sasa ni mchezaji wa Azam FC
🗣️ TAFSIRI YAKE?
Si kawaida kuona "wachezaji wabovu" wakiwindwa na timu kubwa kama hizi. Simba SC mnapaswa kuwa makini — hizi ni Future Caf material players, wasiachwe kirahisi!
Timu kubwa duniani huondoa wachezaji wao tu pale mbadala sahihi wameshatengenezwa. Huu ni wakati wa kujenga, si kuvunja kikosi