Shaffih Sauda "Feisal Ndiye Kiungo Bora Kwa Sasa Nchini"



Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi

1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi

2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi

3.Watu wapo nje ya muda , Idara ya Habari imeambiwa iandae kabisa graphics za utambulisho hili pia halihitaji ubishi

Digala was here


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad