Mtoto wa Yanga Denis Nkane Aongezewa Miaka Miwili Yanga....



Kiungo mshambuliaji/winga Denis Nkane amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga mpaka mwaka 2027,

Yanga wanaendelea kuwa nae baada ya kuendelea kuonesha ubora wake uwanja wa mazoezi, hivyo kuendelea kuboresha kikosi chao zaidi.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad