Mobile

MENEJA wa Mohamed Hussein Zimbwe Afunguka Kwa Uchungu

MENEJA wa Mohamed Hussein Zimbwe Afunguka Kwa Uchungu


Mchezaji asiporidhika na kufikia makubaliano na klabu yake huwa anaonekana kama msaliti lakini klabu isiporidhika na mchezaji inamuacha halafu kama hakuna kilichotokea!

Mchezaji anaweza kuwa anatamani/anataka kubaki kwenye klabu kwa mahitaji ambayo yapo ndani ya uwezo wa klabu lakini klabu ikaamua kumpiga chini. Kuna wakati klabu inataka kumbakiza mchezaji kwa terms ambazo mchezaji hakubaliani nazo, mchezaji ataonekana ameshindwa kuiheshimu klabu.

Kwa hiyo upande wa mchezaji ukishindwa kukubaliana na upande wa klabu nao pia inabidi waeleweke.

-Ujumbe wa Meneja wa mchezaji wa zamani wa Simba sc Mohamed Hussein.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad