MANCHESTER United huenda ikashusha bei yao ta Pauni 30 milioni dirisha hili kwa ajili ya kumuuza kipa wake, Andre Onana.
Taarifa mbalimbali zinadai AS Monco inatamani sana huduma ya fundi huyu lakini kiasi hicho cha pesa kinachotajika na Man United kama ada ya uhamisho ni kikubwa sana kwao.
Kipa huyu wa kimataifa wa Cameroon anahusishwa kuondoka kutokana na kiwango chake.