Mchezaji wa Klabu ya Simba Kibu Denis Prosper hatoshiriki michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza mwezi wa nane maamuzi yamefanyika. 🔴⛔
Hii ni baada ya nyota huyo kwenda mapumzikoni nchini Marekani na atakuwa huko kwaajili ya majaribio ya kijiunga na moja ya Klabu inayoshiriki Ligi kuu nchini Marekani. 🇺🇲🇹🇿👍.
Hemed Morocco kocha mkuu wa Taifa Stars ameamua kumuondoa kwenye michuano hiyo mara baada ya kutoweza kufika kambini yapata wiki mbili.