Mlinzi wa Zamani wa Yanga Anayekipiga kwa sasa Ligi Kuu ya Angola 🇦🇴 Joyce Lomalisa Mutambala raia wa Congo 🇨🇩Yuko Kwenye Hatua za Mwisho Kumalizana Na Team Yake Mpya ya Ligi Kuu Ya NBC
Hata Hivyo Mchezaji Huyo Ana Ofa Mbalimbali Kutoka Tanzania kwenye vilabu kama Azam na Singida Black Star🛜Anything can Happen😀
NB:Nyota Huyo Amekwisha Wasili Tanzania tokea Mwezi June