DEAL DONE: Chama Kutambulishwa na Azam Muda Wowote

 

DEAL DONE: Chama Kutambulishwa na Azam Muda Wowote

Kama nilivyowataarifu hapo awali kuwa mchezaji wa kimataifa wa Zambia ‘Clatous Chota Chama’ amemalizana na Yanga SC mara baada ya Yanga SC kutomuongezea mkataba mpya,


Hivi sasa ni rasmi kuwa Chama atatambulishwa na Azam FC muda wowote kutokea sasa, mara baada ya kukamilisha taratibu za kimikataba baina ya Azam na Chama,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad