AZAM FC Wavunja Benki, Wampa Fei Toto Mkataba Mpya Mshahara Milioni 70 Kwa Mwezi
Azam wameshawasilisha mkataba mpya wa kufuru wa miaka 3 'Bumper Contract' kwa kiungo wao Feisal Salum.
- Mshahara, Milioni 70 kwa mwezi (Milioni 50 take home, Milioni 20 NSSF)
- Signing-Fee, Dollar 200,000 kila mwaka kwa muda wa miaka 3 (Jumla Dola 600,000)
- Ubalozi kwenye Makampuni ya Azam, ambapo atapokea Milioni 200 kila mwaka.
- Nyumba Masaki na Gari mpya.
Package yote hiyo kwa muda wa miaka 3 inafika Shilingi Bilioni 5
Anasubiriwa Feisal tu kufanya maamuzi juu ya Contract Proposal hiyo na uwezekano wa kuusaini mkataba huo ni mkubwa.
Imeandikwa Haatimabdul mchambuzi kutoka WASAFI MEDIA