Andambwile Bado Yupo Sana Jangwani.....

Andambwile Bado Yupo Sana Jangwani.....


Klabu ya Yanga Sc imetangaza kumsainisha kiungo Aziz Andambwile nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027 baada ya kutamatika kwa mkataba wake klabuni hapo.

Andambwile (25) raia wa Tanzania alijiunga na Young Africans Sc mnamo Julai 2024 akitokea Singida Fountain Gates (sasa Black Stars) kwa mkataba wa mwaka mmoja na sasa ataendelea kusakata kabumbu Jangwani kwa miaka miwili zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad