Yanga wameshinda goli 5-0 dhidi ya Tanzania Prison ambapo magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Clatous Chama,Pacome Zouzoua goli 2 na Israel Mwenda.
Upande wa Simba pale mkoani Tabora ni kwamba wameshinda goli 5-0 dhidi ya KenGold magoli yamefungwa na Kibu Dennis goli 2,Elie Mpanzu,Leonel Ateba na Jean Ahoua.
MATOKEO MENGINE FT:
Azam 5-0 Tabora United
Coastal Union 1-0 Fountain Gate
Mashujaa 1-1 KMC FC
Namungo FC 0-0 Kagera Sugar
Pamba 1-0 JKT Tanzania
Dodoma Jiji 0-2 Singida BS