Mobile

Yanga Wapania Mazima Kumrejesha Henock Inonga Baka Tanzania


Yanga Wapania Mazima Kumrejesha Henock Inonga Baka Tanzania


 "Yanga inauhitaji mkubwa wa kusajili mchezaji wa eneo hilo, Ila kuhusu nani anakujani mapema kuzungumza kwa sasa,

Lakini mchakato unaendeleana majina ya wachezaji wanatazamwa kwaajili ya kuongeza nguvu eneo hilo tumekuwa tukilifanyia kazi.

Kwamuda sasa yapo mezani na tayari yameanza kufanyiwa mchakato jinala Inonga ni miongoni mwao," alisema mtoa taarifa ambaye hakutaka kutajwa jina lake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad