Wanachama na Mashabikiwa Yanga wamechanga kiasi cha shilingi Milioni 5 kwa ajili ya faini ambayo ametakiwa kulipa afisa habari wa Yanga Ally Kamwe na Kamati ya Maadili ya TFF.
Ally Kamwe leo amekabidhiwa kiasi hicho cha Milioni 5 na laki 2 kwaajili ya kwenda kulipa faini hiyo.