MWAMBA WA LUSAKA TRIPLE C KUSALIA NDANI YA JANGWANI 🔰
Kiungo Mshambuliaji Raia Wa Zambia 🇿🇲 Triple C Anatarajia Kuongeza Mkataba Wa Kusalia Yanga kwa msimu Unaokuja Mwisho mwa Msimu Atasaini kandarasi ya Kusalia Jangwani vyanzo vyangu Vinadai Nyota huyu atapata Ongezeko la Mshahara.
NB:Nani Alisema CHAMA Hana Furaha Ndani Ya Kikosi Cha YANGASC 😀