EXCLUSIVE🎙Licha ya AZAM FC Kuweka M900 Na Mshahara wa M30 Kwa Mwezi Kwa Maestro FEISAL SALUM Lakini Mtaalamu Huyo Amegoma Kusaini Mkataba Mpya, Ikielezwa Kwasasa PESA sio Kipaumbele Kikubwa Kwake Bali Anahitaji Kuwa sehemu Ambayo Kila Msimu Atabeba Mataji Na Kuvaa Medali."
Fei Toto Adaiwa Kutaka Mataji, PESA Sio Kipaumbele Kwake Katika usajili
0
April 18, 2025
Tags