Huyu Hapa Mwamba Silaha Muhimu Kwa SIMBA, Mchambuzi wa Video za Wapinzani

 

Huyu Hapa Mwamba Silaha Muhimu Kwa SIMBA, Mchambuzi wa Video za Wapinzani

Pichani anaitwa Mueez Kajee🇿🇦, Pale Simba huyu ni silaha muhimu sana ya Kocha Fadlu Davids, Huyu ni mtaalamu wa uchambuzi wa video za wapinzani

Huyu ndio aliewachambua wapiga Penati wote wa Al Masry na kuelewa upande wanaopiga Penati zao, akawasilisha ripoti kwa Kocha wa magolikipa Wayne Sandilands ambae akawasilisha kwa Kijana wake Moussa Camara

Kiufupi Simba kwenye benchi imekamilika sana, Wapo washkaji watano wanaoenda Timu yeyote na Kocha Fadlu, Bado ni vijana , yani masela tu ila wanapiga kazi sana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad