Mobile

ALI Kamwe: Simba Inapigwa Nje Ndani, Berkane Wanachukua Kombe

 


“Nimeshaanza dua hii anapigwa home and away anachukua Berkane, alafu waambieni Makolo wakitaka kuongea na Yanga wawe na Kombe mkononi, Sio wanafika kwenye historia zetu wanapiga kelele, jogoo anawika leo wakati sisi tulishakula, mtese mtu na kitu ambacho Hana,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc - Ali Kamwe



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad