Mashabiki wa Yanga wanasifia sana wachezaji wao na wanawalinda sana wachezaji wao kuliko mashabiki wa Simba Tanzania , ukitaka kuamini pamoja na ubora wa Jean C. Ahoua ila bado kuna mashabiki wa Simba wanaweka mijadala ya kumbeza, ila mashabiki wa Yanga hawawezi kufanya hivyo wengi wao wanawasifia wachezaji wao ” By Geoff Lea
Geoff Leo 'Mashabiki wa Yanga Wanawalinda Wachezaji wao Kuliko Simba'
0
March 16, 2025
Tags