Baada ya Utata wa Usajili wa aliyekuwa Mchezaji wa TP Mazembe Philipe Kinzumbi kwenda Club Africain hatimaye jambo limekwisha na rasmi Kinzumbi ni Mchezaji halali wa Club Africain
Kupitia ukurasa rasmi wa Club Africain wamechapisha picha ya Kinzumbi na Kuandika hivi - "Mchezaji Philippe Kinzumbi amefuzu na sasa ni mchezaji halali wa Club Africain".