Manchester United Hali si Shwari, Makocha na Wachezaji wa Zamani Wakumbuka Enzi zao Man U

Manchester United Hali si Shwari, Makocha na Wachezaji wa Zamani Wakumbuka Enzi zao Man U



Waliokua wachezaji na makocha wa klabu ya Manchester United wametoa maoni yao kutokana na jinsi klabu ya Manchester United ilivyo sasa.

Dimitar Berbatov “Wakati wangu ndani ya Manchester United, tulikuwa na Cristiano Ronaldo, Wayne Rooney, Ryan Giggs, Paul Scholes, Roy Keane, Rio Ferdinand na Sir Alex Ferguson."

"Wakati tu, tunaingia uwanajani, wapinzani WETU (timu pinzani nyingi) tayari walikuwa wamekubali kuwa tushawafunga.”  

Cristiano Ronaldo: "Nikiwa Manchester United, haikuwa tu kucheza mpira. Ilikuwa pia ni kumiliki mchezo kuanzia dakika ya kwanza hadi dakika ya mwisho".

Sir Alex Ferguson: "Tulimiliki MCHEZO kwasababu HATUKUMUOGOPA mtu. Akili yetu ilikuwa ni simple tu, ushindi kila mechi, haijalishi ni mpinzani wa aina gani".

Wayne Rooney: "Nimecheza na Ronaldo, Scholes, na Giggs, ilikuwa ni kama timu isiyofungika ndani ya uwanja"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad