Ahmed Ally "Mashabiki wa Yanga Waje Uwanjani Kwenye Mateso"
“Mashabiki wa Simba niwaalike waje uwanjani kuenjoy. Lakini kwa upande wamashabiki wa wapinzani wetu [Yanga] waje kwa wingi kadri wanavyoweza waje kuteseka uwanjani siku hiyo itakuwa ni mateso kwao hakutakuwa na namna yoyote kwao zaidi ya mateso” Amesema @ahmedally_ Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC.