BREAKING: Yanga Yatangaza Rasmi Clatous Chama Kujiunga na Wanachi...


BREAKING: Yanga Yatangaza Rasmi Clatous Chama Kujiunga na Wanachi...
Timu ya Yanga leo tarehe moja mwezi wa Saba imetangaza rasmi Mchezaji Clatous Chama Kujiunga na timu hiyo baada ya tetesi nyingi.

Yanga kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram wameandika haya :

"πŒπ–π€πŒππ€ @realclatouschama ni πŒπ–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ”° Karibu sana JangwaniπŸ‘ŠπŸ½

ππ˜πˆπ„ π‡π€πŒπ”πŽπ†πŽππˆ?"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.