Ali Kamwe: Hakuna Mchezaji BORA Atakayeondoka Yanga

Ali Kamwe: Hakuna Mchezaji Atakayeondoka Yanga

 Ali Kamwe: Hakuna Mchezaji Atakayeondoka Yanga


Ali Kamwe akiwa Wilayani Geita Mkoani Geita amewathibitishia Mashabiki na Wanachama wa Club hiyo kuwa hakuna Mchezaji yeyote atakayeondoka klabuni hapo.


Kamwe amesema malengo ya Yanga kama Club ni kwenda kuchukua vikombe vya Afrika pamoja na kuendelea kuwa tishio kwa Afrika na sio kingine.


“La msingi ambalo Rais wetu Injinia Heris amelisisitiza zaidi ya mara mbili hakuna Mchezaji bora uliyemuona msimu huu ataondoka ndani ya kikosi chetu kwenda Timu yoyote hayupo hayupo Mchezaji yoyote katika mliowaona na nyie mnasema huyu anajua ataondoka msimu huu” ——— Kamwe.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.