Wametoboa! Tabora United wabaki Ligi Kuu


Timu ya Tabora United Yafanikiwa Kubakia Ligi Kuu, Biashara United Yashuka


TABORA: Timu ya Tabora United ya Mkoani Tabora imefanikiwa kubaki katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya BiasharaUnited ya Mara, ambapo jumla ya matokeo ni magoli 2-1 kwa kuwa mchezo wa kwanza Biashara ilishinda goli 1-0

Mchezo huo wa “Play Off” umepigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Biashara itaendelea kubaki katika Ligi ya Championship msimu ujao wa 2024/25

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.