Ahmedy Ally: Wanasema Timu Ywtu Mbovu ila Hao Hao Wanataka Wachezaji wetu


Licha ya timu yetu kusemekana ni mbovu lakini ndio timu inayoongoza kwa wachezaji wake kuhitajika na vilabu vingi zaidi vya ndani na nje nchi

Ni dhahiri kuwa tuna kikosi chenye Wachezaji bora

Hatujapata matokeo mazuri msimu huu lakini haindoi ukweli kuwa wachezaji wetu ni bora sana ndio maana wanatajwa sana sokoni

Tunachoenda kukifanya hivi sasa ni kubaki na wale bora wenye moyo wa kuitumikia Simba

Katika dirisha hili la usajili tunaemtaka atabaki Simba lengo ni kutengeneza Simba tishio turudi kwenye Ufalme wetu.'' @ahmedally_

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.