Ridhiwani Kikwete awatembelea Majeruhi ajali ya Mashabiki wa Simba

 

Ridhiwani Kikwete awatembelea Majeruhi ajali ya Mashabiki wa Simba

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora na mbunge wa jimbo la Chalinze. Mhe Ridhiwani Kikwete leo ametembelea Hospitali ya Msoga kuwaona majeruhi waliopata ajali jana eneo la chalinze.


Majeruhi hao ni Mashabiki wa timu ya Simba waliokuwa wanatoka mkoa Mbeya kwenda Dar es Salaam kuangalia mechi ya Simba na Ahly jana.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad