Mayele Kurudi Kucheza Yanga, Azam nao Wanamtaka


Mayele Kurudi Kucheza Yanga, Azam nao Wanamtaka
Fiston Mayele

Taarifa zinadai kuwa nyota wa Pyramid, Fiston Kalala Mayele anaipa nafasi kubwa klabu yake ya zamani ya Yanga SC endapo atarejea kucheza soka kwenye ardhi ya Tanzania.

Azam FC ni miongoni mwa timu zinazotajwa kuiwinda saini ya mshambuliaji huyo tishio ambapo wameandaa mshahara wa USD 15,000 Kwa mweziambapo ni zaidi Tsh million 38.

Huku Simba SC mara kadhaa wamekuwa wakitajwa kumwania nyota huyo mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.