Huu Hapa Msimamo wa Kundi D Ligi ya Mabigwa Baada ya Yanga Kutoka Sare na Al Ahly

Huu Hapa Msimamo wa Kundi D Ligi ya Mabigwa Baada ya Yanga Kutoka Sare na Al Ahly
Huu Hapa Msimamo wa Kundi D Ligi ya Mabigwa


Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Huu ni mchezo wa pili wa hatua ya makundi kwa Yanga iliyo Kundi D baada ya ule wa kwanza kupoteza jijini Algers, Algeria kwa mabao 3-0 kutoka kwa CR Belzoudad.

Kwa matokeo hayo, Yanga inasalia nafasi ya nne kwenye msimamo na alama moja na ina kibarua kigumu kwenye kuwania kufuzu hatua ya robo fainali.

 MSIMAMO KUNDI D baada ya mechi mbili:

1. Al Ahly (4)

2. Medeama (3)

3. CR Belouizdad (3)

4. Yanga SC (1)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad