Haya Hapa Matokeo Yanga vs Al AHLY Leo 02 December 2023

 

Haya Hapa Matokeo Yanga vs Al AHLY Leo 02 December 2023

Haya Hapa Matokeo Yanga vs Al AHLY Leo 02 December 2023

Matokeo Yanga vs Al AHLY Leo 02/12/2023: Katika uwanja wa Benjamini Mkapa jioni utashuhudiwa mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaozikutanisha timu za Young Africans Yanga' dhidi ya Al Ahly wa pili. mchezo kwa timu zote za kundi D pamoja na Mediama FC na CR Bolouizdad.


Katika mchezo huu wa kufa na kupona kwa timu ya Yanga ambapo washika nafasi wa mwisho kwenye kundi linaloongozwa na Al AHLY ambao leo watakuwa wenyeji katika mchezo huu wa CAF CL 2023/24, mchezo unaotarajiwa kuwa mgumu kwa pande zote mbili licha ya Yanga kuwa. akipewa nafasi kutokana na kucheza mchezo huu kwenye uwanja wake wa nyumbani.


Yanga wanahitaji sana matokeo mazuri katika mchezo huu hasa ushindi ukizingatia kupoteza mchezo wao wa kwanza hivyo leo wataingia kwa nguvu ya kupambana na kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mchezo huu wa pili wa kundi lao.


Al Ahly ni miongoni mwa timu bora katika michuano hii ikiwa na asilimia 80 ya kutwaa kombe hili kutokana na uzoefu wao katika ligi hii. Mbali na ubora walionao, wanajua hautakuwa mchezo rahisi na wana kumbukumbu za kutopata mabao 3 katika ardhi ya Tanzania wakati wanacheza na timu za huko, lakini hilo linawafanya wawe chini zaidi ya Yanga katika uwiano wa ubora.


Matokeo Yanga vs Al AHLY Leo 02/12/2023

Mchezo huu ni mgumu sana hasa kwa ubora wa wachezaji wa timu zote mbili, unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kasi ambao utatoa uhuru kwa wachezaji wenye kasi na maarifa makubwa ya mpira. Timu dhaifu inaweza kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.