Kocha Mkuu wa Al Hilal Sudan, Florent Ibenge Akanusha Kujiunga na Timu ya Simba

Kocha Mkuu wa Al Hilal Sudan, Florent Ibenge Akanusha Kujiunga na Timu ya Simba


Kocha Mkuu wa Al Hilal Sudan, Florent Ibenge amesema anasikia tetesi zinazosema kuwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba ili awe kocha mkuu wa Simba.

Ibenge amesema kwa sasa hawezi kujiunga na Simba kwani bado ana mkataba wa mwaka mmoja na nusu zaidi na Al Hilal Omdurman.


🗣️Source: Ibenge

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.