Sakata la Tetesi za FEI Toto Kutaka Kuhamia TIMU ya Simba, Msemaji wa Azam Aongea Haya Kwa Uchungu

 

Sakata la Tetesi za FEI Toto Kutaka Kuhamia TIMU ya Simba, Msemaji wa Azam Aongea Haya Kwa Uchungu

Afisa Habari wa Azam Fc, Hasheem Ibwe ameeleza kuwa Kiungo wao Feisal Salum (Fei Toto) hauziwi na kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni mind game kujaribu kuwatoa Azam mchezoni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakao pigwa Jumapili Oktoba 22, 2023 kwenye Dimba la Azam Complex.


“Hakuna ofa yoyote iliyokuja ya kumtaka Fei Toto na Fei kwa sasa hauzwi” Ibwe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.