Haaland Ashinda Tuzo ya Mshambuliaji bora

Haaland Ashinda Tuzo ya Mshambuliaji bora


Mshambuliaji wa Manchester City na Norway, Erling Haaland ameshinda tuzo ya 'Gerd Muller Trophy ' kama mshambuliaji Bora wa mwaka 2023 kwenye sherehe za tuzo za Ballon d'or.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.