Mshindi wa Tuzo ya Ballon D'or 2023 Lionel Messi

 

Mshindi wa Tuzo ya Ballon D'or 2023 Lionel Messi

Lionel Messi "mchawi mweupe' ameandika rekodi mpya katika ulimwengu wa Soka baada ya kunyakua tuzo ya Ballon D'or 2023 na kufikisha Ballon D'or 8.


Messi amenyakua tuzo hiyo akiwapiku makinda wanaofanya vizuri kwa sasa Kylian Mbappe na Erling Haaland alioingia nao tatu Bora.


Messi ameshinda tuzo hiyo akiwa ametoka kuisaidia Argentina kunyakuwa Ubingwa wa Dunia katika fainali zilizofanyika nchini Qatar.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.