BREAKING: Kipa M-brazil wa Simba avunjiwa Mkataba

 

BREAKING: Kipa M-brazil wa Simba avunjiwa Mkataba

Taarifa za kuaminika kutoka katika Klabu ya Simba zinasema Kipa mpya wa klabu hiyo Luis Jefferson kutoka Brazil amepata majeraha akiwa mazoezini.


Simba imepanga kuachana nae mara moja na kusaka kipa mpya mapema Kwa kumlipa fidia kwani majeraha aliyoyapata yatamuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu.


Jefferson amesajiliwa na Simba katika dirisha hili na bado hajafanikiwa kucheza mchezo wowote akiwa katika jezi ya Simba SC.


Je, ni kweli amepata majeraha au ni lile sakata la kuwa kanuni hazimruhusu kucheza Ligi Kuu? Tupe maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.