Matokeo Mechi ya Man City Vs Real Madrid
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: SEMI-FINAL #UCL
🏟️ Santiago Bernabeu
REAL MADRID 🇪🇸 1-1 🏴 MANCHESTER CITY
⚽️ Vinicius Jr 36’
⚽️ De Bruyne 67'
Mzani ume-balance kwa sare ya 1-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kati ya Mabingwa watetezi, Real Madrid dhidi ya Manchester City.
Mchezo wa marudiano wiki ijayo utaamua nani atatinga fainali
#KitengeSports