Fei Toto |
Maskini Fei Toto Aandika Haya Kwa Uchugu Mkubwa Baada ya Shauri lake Kugonga Mwamba Tena TFF
Masaa machache tangu Kamti ya Sheria na hadhi za wachezaji kutupilia mbali maombi ya Kiungo wa Yanga Feisal Salum "Fei Toto" kuvunja Mkataba na Klabu ya Yanga na kusema kuwa mchezaji huyo ni mali halali ya Yanga.
Hatimaye mchezaji huyo kwa mara ya kwanza ameibuka na kuandika ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram.
Feisal ameandika;
“You will face many defeats in life, but never let yourself be defeated” Maya Angelou
Utakumbana na kushindwa mara nyingi maishani, lakini kamwe USIJIRUHUSU kushindwa..."