Kimenuka..Yanga Yapigwa Faini CAF Milioni 80 Kisa Vitendo vya Kihuni

Published from Blogger Prime Android App
Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi cha Sh milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2.

1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000

2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa ($5,200) na harufu mbaya inayosemekana kuwa na sumu, dola 25,000.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.