Anaandika @hajismanara ✍️
"Najua Mpira wa Tanzania kwa namna moja au nyingine umefaidika na Propaganda zangu na umenufaika kuliko Chama Changu Cha CCM ambacho kilinisomesha China kwa mafunzo ya juu ya taaluma hii ya kupropagate mambo.
Nafikiria kuwa na darasa huru la nini Propaganda na nani Propagandist na Propagate ni nini!!"
𝘼𝙁𝙄𝙎𝘼 𝙃𝘼𝘽𝘼𝙍𝙄 𝙂𝘼𝙉𝙄 𝘼𝙉𝘼𝙃𝙄𝙏𝘼𝙅𝙄 𝙕𝘼𝙄𝘿𝙄 𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎𝘼 𝙇𝘼 𝙈𝘼𝙉𝘼𝙍𝘼 𝙇𝘼 𝙆𝙐𝙁𝙐𝙉𝘿𝙄𝙎𝙃𝙒𝘼 𝙐'𝙋𝙍𝙊𝙋𝘼𝙂𝘼𝙉𝘿𝘼 ?