Kikosi cha Marumo Gallants kimewasili alfajiri ya leo na walipofika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere waligomea kupanda basi maalum lililoandaliwa na wenyeji wao Yanga Sc badala yake wakachukua coaster na kuondoka nayo
Marumo awali walipaswa kuwasili asubuhi ya Jumapili lakini hawakufanya hivyo na badala yake wameingia nchini Alfajiri ya Jumanne