Shaffih Dauda; Golikipa Diarra Alistahili Kupewa Man of The Mach....




Kwenye mchezo wa Derby Man of the match amepewa Pacome lakini nafasi ya kupendekeza mchezaji aliyefanya vizuri zaidi mimi ningempa Diarra hiyo tuzo ya MOTM

Kipindi cha kwanza kaokoa 1v1 mbili , zile nafasi golie wa kawaida yote yale ni magoli lakini haikuwa hivyo kwa Diarra.

Kwa % kubwa uhai wa Yanga ulianzia kwake naweza kusema hivyo , saves zake zilifanya nyota wengine wazidi kumwaga jasho yaani unakimbiza mwizi ukiwa tayari una uhakika mageti yana lock

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad