Rungu la SIMBA Lampitia Kipa Ally Salim, Apewa Thank You

Rungu la SIMBA Lampitia Kipa Ally Salim, Apewa Thank You


Klabu ya SIMBA SC imetangaza Mlinda mlango, Ally Salim hatakuwa sehemu ya kikosi kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026 baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili.

Ally alijiunga na Simba akiwa kijana mdogo katika msimu wa 2016/2017 akitokea timu ya Makorora FC ya Tanga ambapo alijiunga na timu ya vijana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad